Shirika la umeme Tanzania TANESCO limeendelea kuboresha upokeaji wa taarifa kutoka kwa wateja wake kwa kumrahisishia mteja kutoa taarifa kupitia programu ya "nikonekt". "nikonekt" inakuwezesha:- Kutuma na kufuatilia maombi ya umeme, kutoa taarifa za Dharura, kufanya maombi yasiyo ya umeme, kutoa malalamiko pamoja na kufanya maulizo mbalimbali